Je, kuamini kupo katika uwezo wa mwanaadamu?
Share
The Answer
Dear Brother / Sister,
Ni Allah ndiye huwatunuku watu Imani. Hata hivyo, huwapa katika watumwa wake anayetaka. Mtumwa hutaka uongofu kutoka kwa Allah na Allah humpatia.
Kwa mujibu wa tafsiri ya Sa'd Taftazani, Imani ni “Imani ni nuru ing’aayo inayotolewa na jua la milele (Allah mtukufu) na ni mwangaza kutoka katika neema isiyo na mwisho.” (Said Nursi, İşârâtü'l-İ'câz)
Maswali juu ya Uislamu
