Watu wamegawika sehemu ngapi kiupande wa Imani na ukafiri?
Share
The Answer
Dear Brother / Sister,
Wamegawika sehemu tatu:
1 - Waumini
2 - Makafiri
3 - Wanafiki
- Mtu anayeamini misingi muhimu ya dini ya Kiislamu ambayo ni wajibu kuiamini bila ya kusita na anazikubali huitwa muumini.
- Mtu asiyeamini moja kati ya misingi ya Imani iliyojumuishwa katika Amantu na haamini lolote katika maamrisho au makatazo ya Allah huitwa kafiri.
- Mtu anayeonekana ameamini lakini anakanusha moyoni mwake huitwa mnafiki.
Maswali juu ya Uislamu
